1 Chronicles 2:50-53

50 aHawa ndio waliokuwa wazao wa Kalebu.

Wana wa Huri, mzaliwa mkuu wao wa Efrathi, walikuwa:
Shobali akamzaa Kiriath-Yearimu,
51Salma akamzaa Bethlehemu, naye Harefu akamzaa Beth-Gaderi.
52Wazao wa Shobali, baba yake Kiriath-Yearimu, walikuwa:
Haroe, nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi,
53 bpamoja na koo za Kiriath-Yearimu ambazo ni: Waithiri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. Kutokana na watu hawa walizaliwa Wasorathi na Waeshtaoli.
Copyright information for SwhNEN